SR BERNADETA FUND

Kindly assist the Archidiocese of Songea by contributing to the beatification process of Sr. Bernadeta Mbawala through their CRDB account no. 0152085128521, account name:SR. BERNADETA FUND

Monday, January 30, 2012

SHEREHE YA MT. FRANCIS WA SALE

Tarehe 24/01/2012 ilikuwa ni kumbukumbu ya Mt. Francis wa Sale ambae ni somo wa jumuiya ya Wakatoliki ya Facebook.


Wanajumuiya tuliungana katika kuadhimisha misa siku hiyo kisha tarehe 28/01/2012 ndipo tulipofanya tafrija fupi nyumbani kwa Vicenza-marie  (Mama Mchu...)kule Kimara mwisho.

Basi mambo yalikuwa hivi...

Fr Joseph Mosha na Lilian Mallya wakijipumzisha baada ya kazi nzito ya upishi

Wanajumuiya wakimsikiliza Exavery Ngonyani (hayupo pichani)








Mvinyo  pia ulikuwepo sema hawa  walianza kukwangua koo na SBC kwakuwa Isaac Nyirenda Kanyunya anafanyia kazi huko.
                                                                               
                                        




"Hapa wakizubaa tu nakimbia na sufuria la pilau" Ndivyo anavyoonekana da Lilian Akiwaza

Tunamshukuru Mungu sana pamoja na Mt. Francis de Sales kwa kuifanikisha sherehe yetu. Sasa tutamuenzi muombezi wetu kimatendo zaidi katika kutayatafuta, kuyatafakari na kuyaishi mapenzi ya Mungu.

Tunawashukuru wooooooooooooote waliofika na wale walioifanikisha sherehe yetu kwa njia moja au nyingine.

Katika upendo wa Kristu,
Vicenza-marie!

 

No comments:

Post a Comment

Dear Rafiki,
Asante kwa comments zako


Vicenza-Marie!