SR BERNADETA FUND

Kindly assist the Archidiocese of Songea by contributing to the beatification process of Sr. Bernadeta Mbawala through their CRDB account no. 0152085128521, account name:SR. BERNADETA FUND

Monday, May 28, 2012

KITABU KUHUSU MAISHA YA SR. BERNADETA SASA KINAPATIKANA DAR

Kristo!

Wengi walikuwa kiulizia upatikanaji wa kitabu kuhusu maisha ya Sr. Bernadeta Mbawala. Napenda kuwajulisha kwamba kitabu hiko sasa kinapatikana hapa Dar. Acha email yako hapa kwenye comments kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kukipata.
Sr. Bernadeta Mbawala mwandishi ni Pd. Heribert Meyer

9 comments:

  1. Ninapenda kupata kitabu hiki email yangu ni.

    hadelins@live.com

    ReplyDelete
  2. Asante ndugu Hadelins. Tulikuwa kimya kwakuwa kipindi unatutumia ombi lako tulikuwa kwenye tamasha la vijana Brazil.Nitakutumia Email punde


    Vicenza-Marie Marian

    ReplyDelete
  3. Ninaomba maelekezo ya kupata kitabu kupitia haule_Lucy@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. Nitafurahi kupata maelezo jinsi ya kukipata kitabu hicho email yangu ni jameslutumo@yahoo.com au namba ya simu 0765689180

    ReplyDelete
  5. Nnaomba utaratibu wakupata kita hiki kupitia email yangu tungupetet89@gmail.com

    ReplyDelete
  6. Nnaomba utaratibu wakupata kita hiki kupitia email yangu tungupetet89@gmail.com

    ReplyDelete
  7. Nataka pia hiki kitabu dignamtana@gmail.com

    ReplyDelete
  8. Naitwa Thomas Novatus Festus. Naomba nipatiwe utaratibu wa kunnunua na kutumiwa kitabu kuhusu maisha ya MTUMISHI WA MUNGU Sr. Benadetha Mbawala

    ReplyDelete

Dear Rafiki,
Asante kwa comments zako


Vicenza-Marie!