SR BERNADETA FUND

Kindly assist the Archidiocese of Songea by contributing to the beatification process of Sr. Bernadeta Mbawala through their CRDB account no. 0152085128521, account name:SR. BERNADETA FUND

Sunday, March 25, 2012

SALA KWA MTUMISHI WA MUNGU SR BERNADETHA

Marafiki wapendwa,

Kuna ombi maalumu nimepewa na rafiki mmoja naomba tumuombee katika shida yake hiyo. Mmkumbuke katika sala na hasa tukiisali sala hii ya kuelekea kumtakatifuza Sr. Bernadetha Mbawala katika madhabahu ya bwana.

Katika kristu,

Vicenza-marie!

3 comments:

  1. Nilikuwa nasafari ndefu lakini Siku moja kabla ya safari nilipata ugonjwa ambao ungenifanya nisafiri kwa shida basi nilimkimbilia Sr Bernadeta ugonjwa ukakata. Namshukuru Mungu na asante Sr Bernadeta.

    Marianna

    ReplyDelete
  2. Dear Marianna.

    Tunamshukuru Mungu sana kwa kujibiwa ombi lako katika ugumu ulioupata. Nawahimiza kuhifadhi kumbukumbuku zenu na kuwa mnatuma shuhuda zenu Songea katika shirika la Masista Chipole au katika kamati maalumu iliyoandaliwa. Nitwaweka humu anuwani sahihi za kutumia shuhuda zenu.

    Mungu atukuzwe

    Vicenza-Marie!

    ReplyDelete
  3. Nilikua kwenye matatizo makubwa Sana mtakatifu benardeta ameniombea Sana had nashindwa kueleza

    ReplyDelete

Dear Rafiki,
Asante kwa comments zako


Vicenza-Marie!