SR BERNADETA FUND

Kindly assist the Archidiocese of Songea by contributing to the beatification process of Sr. Bernadeta Mbawala through their CRDB account no. 0152085128521, account name:SR. BERNADETA FUND

Tuesday, April 24, 2012

SHUHUDA

Je umeshawahi kusaidiwa shida yeyote kama ugonjwa, masomo, kazi n.k? kupitia maombi ya Sr. Bernadeta Mbawala? unaweza kushare nasi? Please do!

Vicenza-Marie

5 comments:

  1. Mtakumbuka kuwa niliandika kuomba maombezi yenu kwa Mtumishi wa Mungu hapo february ikiwa ni pamoja na mahusiano mabaya na mkuu wangu wa kazi.Tayari amehamishiwa kituo kingine na mke wangu anaendelea vizuri. Ni kweli mpendwa Vincesa alisema kweli maombi mengine huchukua muda na tunahitaji subira kwani Mungu hujibu kadri aonavyo na kwa wakati unaofaa na apendavyo Yeye .Nazidi kuomba muniombee ili Mtumishi wa Mungu aniombee ili Mungu mwenye huruma anisaidie. mimi nawaombeeni pia.
    Martin zacharia

    ReplyDelete
  2. Mungu atukuzwe milele. Tuendelee kuombeana!

    ReplyDelete
  3. mimi nimeathirika na hiv, nilimzaa mtoto wangu bila kufata taratibu za kitabibu za kumkinga mtoto wangu. baadae nilifanya maamuzi ya kumpima mtoto wangu, ila kabla ya kumpima nilimuomba mtumishi wa mungu st. bernadeta mbawala aniombee ili nikimpima mtoto nimkute akiwa salam. baada ya kusali nikampima mwanangu nikamkuta mzima Mungu kamuepusha na maradhi. Asante Yesu kwa uponyaji.

    ReplyDelete
  4. Mungu ashukuriwe nimefurahi kwa shuhuda zote kwani nimeona mkono wa Mungu unavyofanya kazi tuzidi kuombeana. mimi pia nafanya maombi najua yatajibiwa kwa wakati ule Mungu alio upanga. Mbarikiwe sana

    ReplyDelete
  5. Kila jambo ninalomshilikisha sister bernadetha mbawala, yanatimia,
    Kunye masomo na shida mbalimbali

    ReplyDelete

Dear Rafiki,
Asante kwa comments zako


Vicenza-Marie!